Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu.
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment