Home »
UDAKU
» Le Mutuz: Zari all white party imeingiza 1.8 Billion jamani kina dada zetu bongo amkeni usingizini jiulize Who is Zari?
Le Mutuz: Zari all white party imeingiza 1.8 Billion jamani kina dada zetu bongo amkeni usingizini jiulize Who is Zari?
LEMUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- The "Zari White Party" hesabu za haraka
haraka matokeo ni 1.8 Billion ndio maana ya AKILI KUBWA mkiwa mmelala
usingizi sana na Mungu anawapenda basi atawaletea AKILI KUBWA ya
kuwamsha..jamani kina dada zetu bongo amkeni usingizini jiulize Who is
Zari? Kama una AKILI KUBWA utagundua ni Super Star made by Social Media
especially Instagram
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment