Taarifa hizi zimeibuka na kuwaacha midomo wazi mashabiki wa Jackie, hasa kutokana na kurasa za mitandao ya kijamii za mumewe huyo mpya, kuendelea kuwa na picha na kumbukumbu za Adut ambaye ni mwanamitindo kutoka Sudan Kusini ambaye mpaka sasa, hakuna kithibitisho kuwa waliachana.
Kuibuka kwa taarifa hizi, kunamrudisha Jackie katika historia ya kutoka na waume za watu, rekodi zikionesha kuwepo kwa ugomvi mkubwa kipindi cha nyuma kati yake na mke wa Caleb Alaka, mwanaume ambaye aliingia naye penzini licha ya kuwa ni mtu mwenye familia. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment