Kilichosubiriwa kwa hamu na watu wengi ni tukio zima la Tuzo za Watu ambapo fainali yake ilikuwa jana MAY 22 2015.. Kutokana na utaratibu uliowekwa washiriki wote waliteuliwa na watu na baadae mchakato ukakamilika kwa watu kuwapigia kura washiriki hao.
Yes.. jana usiku shughuli yote ilikuwa pale Hyatt Regency, hapa nina baadhi ya PICHAZ ambazo nimekuwekea pamoja na list ya washindi wote.
List ya washindi hii hapa
Mtangazaji wa redio anayependwa- D’Jaro Arungu – TBC FM.
Kipindi cha redio kinachopendwa- Papaso – TBC FM.
Mtangazaji wa runinga anayependwa– Salim Kikeke (BBC Swahili)
Kipindi cha runinga kinachopendwa- Mkasi (EATV)
Blog/Website inayopendwa- millardayo.com
Muongozaji wa video anayependwa- Hanscana
Muongozaji wa filamu anayependwa- Vincent ‘Ray’ Kigosi
Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa- Wema Sepetu
Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa- Hemedy PHD
Mwanamuziki wa kike anayependwa- Lady Jaydee
Mwanamuziki wa kiume anayependwa- Ali Kiba
Filamu inayopendwa- Kigodoro
Video ya muziki inayopendwa- ‘Nani kama Mama’– Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment