Najua watu wengi waliisubiri hii kwa
hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa
na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia
nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.
Points tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd Mayweather kamshinda Pacquiao kwa points sita tu.. Floyd ana points 117 na Pacquiao ana points 111.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment