Nilichozoea kukiona ni kwamba ukikuta
sehemu kwenye mabanda ya video mtaani kumejaa watu basi wanakuwa
wanaangalia mechi ya mpira wa miguu, lakini hili pambano ni kama
limevunja rekodi yani !!
Watu walijaa kushuhudia round 12 za Floyd Mayweather na Manny Pacquiao
zinaishaje.. Najua sehemu kubwa duniani hali ilikuwa hivyohivyo..
nikazipata PICHAZ, mastaa wa Marekani ambao nao hawakutaka kupitwa hata
kidogo na pambano hilo, wakanunua ticket zao.. wakaingia na wenyewe MGM Grand Garden Arena, Las Vegas.
Member wa YMCMB, Nicki MinajWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment