Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala.
Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu.
Kila kilizibwa upande huu linafumuka upande ule.
Mbowe ndiye aliyeagiza Kisala aondolewe kwa tuhuma za usaliti kwa Chama.
Bila Shaka kila Mwana chadema ni Msaliti isipo Kuwa Wenye Chama.
Na bado. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment