D’Banj
ameachia video ya nyimbo zake mbili kwa wakati mmoja akiwa Washington
DC Marekani ambako amefanya show ya kuzindua Kampeni ya kupambana na
umaskini.
Kwenye video hiyo wako mastaa wengine kama Will.I.am, Common, Usher, Chris Martin na Fally Ipupa.
D’Banj amesema wimbo wake mpya wa ‘Extraordinary’ ameutoa kwa ajili kampeni ya kupambana na umaskini.
Nakukaribisha hapa kuitazama video yake…
0 comments:
Post a Comment