Embu ona hiii : Wema Sasa amekuja na nguvu zote ana mtangaza Ali Kiba Kwenye Instagram yake na Kuomba watu wampigie kura kushinda Kill Music Awards wakati akijua kabisa Ali Kiba na Diamond haziivi ...
Baada ya Muda Diamond Anaibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo za Kill Awards Kama Univyosomeka Hapa Chini:
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment