Picha ya kwanza kutolewa na Ikulu ya Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na familia yake ilitoka mwaka 2009 na ilipigwa na Annie Leibovitz na picha ya pili ndio hii hapa juu ambayo ilitoka mwaka 2011 na ilipigwa na mpiga picha wa White House Pete Souza.
Picha
mpya na ya tatu ndio hii hapa chini ambapo anaonekana first lady
Michelle and watoto wao wa kike Malia mwenye miaka 16 (kushoto) na Sasha
mwenye miaka 13.
White house pia ilitoa picha pekee ya Obama akiwa na mke wake bila watoto na kutoa salamu za Pasaka.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment