Taarifa hiyo imetolewa na meneja wake, Martin Kadinda kwenye Instagram:
Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital Ya Kimataifa Ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House…..#mkataba huu wa ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment