Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wanawake Wanaojiona Warembo Sana Uishia Kusimamia Harusi za Wenzao Wengi Hawaolewi

Wanawake Wanaojiona Warembo Sana Uishia Kusimamia Harusi za Wenzao Wengi Hawaolewi

Nimeenda harusi nyingi wanawake wanaoolewa ni wale wa kawaida na wenye kujitambua,hawa wanaojiita warembo wengi wao hawaolewi na huishia kusimamia harusi za wanawake wenzao tu.

Pia wengi huishia kuwa nyumba ndogo,sababu kuu zinazofanya wasiolewe ni wengi wanakuwa wanataka kuishi maisha ya tamthilia za ng'ambo anataka mwanaume tajiri awe mtanashati sana.

Pia wanapenda sana matumizi makubwa story zake ni kuhusu matumizi ya hanasa,wanaume wengi ushtuka na kuishia ku hit na kusepa.

Hawaridhiki anakuwa anajiona mzuri sana hivyo mkikorofishana kidogo na akatongozwa nje basi uishia kwenda nje. Wengi huishia kutumiwa tu na kuachwa kwa sababu ya tabia zao na tamaa. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips