"Naomba nimalizie khs Wema ntaifuta post hii....Nimejaribu kupitia maoni yoote na sijaona mtu amethubutu kusema kosa la Wema ni nini na why anatukanwa so watu wanamuonea wivu bure...achana na masuala ya msiban...amekwenda na katoa mchango wake.... Sasa naomba niweke wazi hili suala nyeti sikutaka kuweka hapa ila imenibidi ili ujumbe huu umfikie @wemasepetu na wanaomuwazia mema kumuombea... niwieni radhi nadhan mtanielewa @ssepetu @nsepetu @ssepetu !
Kutoka chanzo cha ndani kabisa...habari za uhakika!!! Wasanii wengi hawampendi Wema!! Wanajaribu kila njia kummaliza kisanii au hata kila atakachokifanya asifanikiwe na kujaribu kufifisha nyota yake, na asilimia kubwa za account feki zinazomtusi Wema ni wasanii au watu wa karibu wenye chuki na yeye!! Ili kumpoteza ndo maana mambo mengi yanaenda then yanakwama au saa nyingine Wema hajitambui na maisha anayoishi si yeye, wakati mwingine kama yupo yupo tu... anapambana sana..ingebidi afike mbali zaidi ya hapo au zaidi ya msanii mwingine unayemjua!!!.... anajitahidi kusogea japo ana vita kubwa sana yawezekana hajui....
kwa sasa anaanza kurudi lakini bado watu wanakesha kwa waganga kummaliza!! Tatizo la Wema ni kwamba anamuamini kila mtu...na ni rahisi mtu kufanya kitu chochote kwake, @wemasepetu watu ni wabaya sana mtu anaweza kukuwekea hata sumu kwenye kinywaji hatuombi iwe hivyo ila si unaona mwenyewe unavyochukiwa bila sababu?????.. kuwa karibu na ndugu zako tuu tafadhali!!! Na mpango uliopo ni kumchonganisha na dada zake ili wasipatane na asiwasikilize...japo wanafeli naamini hata Wema anapiga sala.. kikubwa sana ni maombi ndo yatamsaidia. Tatizo ni NYOTA yake.... mambo mengi ambayo amefanya ambayo hatukutegemea hakuwa yeye alifanyiziwa!! Sometimes I wish ngempeleka kwa pastor wangu aombewe.... "NYOTA" ya Wema inasakwa na Mungu amsaidie ndoto zake zisikatishwe. Amen"WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment