Taarifa zilizotelewa na Google ambao ni wamiliki wa Android OS wamethibitisha kwamba kuna malware ambao waliweza kuwa backdoored ktk Android Kernel yaani Linux kernel ambayo imeweza kusababisha security hole flow katika device hizo zitumiazo Android.
Hivyo basi Google kama wamiliki wa android wanalazimika kuzima simu baadhi zitumiazo OS yao kwa muda usiopungua siku 21 yaani wiki tatu... Au pungufu ya hapo ili kuweza kufanya marekebisho na kutoa update kwa kila device ambapo user ata update mwenyewe.
Ni taarifa yakusikitisha sana kwasabu wale wapenzi wa Instagram, Facebook na whatsapp litawacost suala hili.
Tembelea hapa kuona kama simu yako inaweza kuzimwa kupitia operation hii List of all smartphones which will face the issueWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment