Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha: Mazingira mapya ya Steven Gerrard baada ya kuondoka Liverpool…

Picha: Mazingira mapya ya Steven Gerrard baada ya kuondoka Liverpool…

mansion3 
Mwishoni mwa msimu huu kiungo wa Liverpool Steven Gerrard atakuwa akiiaga timu yake hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 17 na kuhamia katika klabu mpya ya Galaxy ya Marekani ambapo ametengewa dau kubwa kwa ajili ya kwenda kuitumikia.
mansion 
Galaxy imemwandali kiungo huyo hatari na kipenzi cha mashabiki wengi maisha mazuri akiwa na timu hiyo ikiwa ni pamoja na mshahara mzuri na jumba la kifahari ambalo unaambiwa thamani yake ni pauni milioni 16.8.
mansion2
Steven Gerrard akiwa na familia yake
Gerrard atahama Liverpool akiwa tayari amedumu kwa miaka 17 sambamba na mkewe Alex na mabinti zake watatu katika jumba hilo lililopo kwenye ufukwe wa Malibu Magharibi mwa Marekani.
mansion3
mansion4
mansion5
mansion6WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips