Baada ya Kumalizana na Dogo Aslay wa ya Moto Band Mrembo Naima ambae
haishiwi Skendo amehamia kwa Kipa wa Simba anaitwa Manyika JR , Wawili
hao kwa sasa wanagandana kama kumbi kumbi mpaka mashabiki wa Simba
wamemshutumu manyika JR kushuka Kiwango cha Kudaka moaka kusababisha
Simba Kufungwa bao 2 na Mbeya City Week iliyopita..
Naima Alikuwa mapenzini na Dogo Aslay mpaka Kufikia Kujichora Tattoo ya Jina la Aslay kama invyoonyesha kwenye Picha hapo juuu
Picha ya Naima na Manyika wakiwa Kitandani wakifanya yao
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment