WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
John Mnyika Nae Awasha Moto Musoma, Umati Mkubwa wa Watu Wajitokeza Kumsikiliza
Picha hizo za mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John
Mnyika jana jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua
mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za
mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni
sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama
yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar
es Salaam.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment