Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » List ya mastaa 10 matajiri kwenye movie hii hapa ....

List ya mastaa 10 matajiri kwenye movie hii hapa ....

movie 
Time hii nimeona nigeukie kwenye sekta ya movie, haba nimekutafutia list ya actors wa movie ambao unaambiwa ndio wamekaa kwenye top 10 ya utajiri mwaka huu 2015.
Kwenye List hii nimegusa Hoollywood (Marekani) na Bollywood (India) ambapo ndipo kuna aaminika kwa kuwa na waigizaji wengi wenye ufundi katika suala zima la kuigiza.
Itazame hapa…
1. Mel Gibson
mel
Ana utajiri wa kiasi cha dola 6000,000,000 na kwa mwezi amekuwa akiingiza kiasi cha dola 72,727,273
2. Shahrukh Khan
shak
Ana utajiri wa dola 600,000,000 na hupokea kiasi cha dola72,727,273 kila mwezi
3. Jack Nicholson
jack
Ana utajiri wa dola 400,000,000 na kila mwezi hukusanya dola 48,484,848
4. Sylvester Stallone
mojaaa
Ana utajiri wa kiasi cha dola 400,000,000 na hupokea dola 48,484,848 kila mwezi
5.Tom Cruise
Knight And Day - UK Film Premiere - Red Carpet Arrivals
Ana utajiri wa dola 380,000,000 na hupokea kiasi cha dola 46,060,606 kwa mwezi
6.Jonny Depp
sita
Ana utajiri wa dola 350,000,000 na kila mwezi hupokea kiasi cha dola 42,424,242
7.Tom Hanks
tom
Ana utajiri wa dola 350,000,000 na kila mwezi hupokea kiasi cha dola 42,424,242
anold
Ana utajiri wa dola 300,000,000 na hupokea dola 36,363,636 kila mwezi,mbali ya kuwa mwigizaji pia aliwahi kuwa governor wa 38 wa jimbo la Carlifonia kuanzia mwaka 2003 hadi 2011
9.Michael Douglas
tisa
Ana utajiri wa dola 300,000,000 na kwa mwezi hupokea kiasi cha dola 36,363,636
10.Adam Sandler
adam
Amiliki utajiri wa dola 300,000,000 ha hupokea kiasi cha doka 36,363,636 kwa mwezi.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips