Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu, Watu Mnaropoka tu Bila Kujua Ukweli

Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu, Watu Mnaropoka tu Bila Kujua Ukweli


Mwigizaji Aunty Ezekiel Amejitokeza kwenye Gazeti Moja Maarufu Bongo na kupinga Vikali tetesi ya kuwa Ujauzito aliyonao ni wa Mh Waziri Nyalandu , Aunty Amesema Maneno haya Hapa Kwa Uchungu Mkubwa..

Kuna binadamu hawajali maumivu ya mtu mwingine, inawezekanaje mtu aanze kuropoka kitu kizito kama hicho tena mtu na familia yake, sasa mtu ambaye ndiye muhusika wa ujauzito huu anajisikiaje?

“Ukweli mimba yangu siyo ya waziri, ifahamike kuwa namheshimu sana mheshimiwa, najisikia vibaya mtu anapoeneza kitu cha namna hiyo,” alisema Aunt kwa uchungu mkubwa" Aunty EzekielWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips