Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.
Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment