Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric
Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona
video kamili.
Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya
REMIX ya wimbo wa ‘Nasema Nawe‘ ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita
‘Nabeba Mawe‘
0 comments:
Post a Comment