Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kwamba ndoa ya msanii Shetta
imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa Shetta anamahusiano
na mwigizaji Rose Ndauka.
Soudy aliamua kumtafuta Rose Ndauka, majibu yake yalikuwa hivi; “Kwanza
kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili
kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka
kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli kile ambacho amesikia ni ukweli
yeye kama mwanamke anapaswa kuwa strong asiondolewe nyumbani kwake kwa
sababu ya mwanamke mwingine..“
Kusikiliza stori yote ya U Heard bonyeza play hapa chini..
0 comments:
Post a Comment