Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Diamond na Mpenzi wake Zari Wagoma Kutaja Jinsia ya Mtoto wao Mtarajiwa Kwa Kuogopa Wafitini

Diamond na Mpenzi wake Zari Wagoma Kutaja Jinsia ya Mtoto wao Mtarajiwa Kwa Kuogopa Wafitini

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi ya mwanaye lakini hayupo tayari kuitaja.“Tayari baby ameshapima na kujua jinsi ya mtoto lakini siwezi kuitaja kwa sasa maana wabaya nao ni wengi sana mjini hapa,” alisema Diamond. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips