Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Aliyekuwa Mume wa SHAMSA FORD Alipiza Kisasi, Amwagia Sifa Siwema Aliyekuwa Mchumba wa NAY WA MITEGO Kumuumiza Shamsha

Aliyekuwa Mume wa SHAMSA FORD Alipiza Kisasi, Amwagia Sifa Siwema Aliyekuwa Mchumba wa NAY WA MITEGO Kumuumiza Shamsha

Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego!


Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake!

Hizi ni picha alizoweka kwenye Instagram na kumwagia sifa Siwema.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips