PICHA: Zitto Ana nini Mpaka Umati Kama Huu Unaenda Kumsikiliza?
Wadau ni Nini siri ya umati huu katika mikutano ya ACT...yani mpaka watu
wananyeshewa mvua wakimsikiliza Zitto kabwe...ndo kusema kuna kitu watu
wanakihtaji na ni zitto pekee anayeweza kuwapatia????????
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment