Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.
Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda mwili wake ufunuliwe.
“I’ve changed my mind Sitaki tena lile la purple Moja kati ya hayo hapo juu #MsiMind #KilaMtuAtakufa #Msiogope Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only #SitakiKufunuliwa,” ameandika Jide. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment