‘Narudi Kijijini’ ni ngoma ambayo ilifanya poa sana na kumfanya msanii Best Naso achukue Headlines kwenye game la Bongo Fleva mtu wangu, kama ulimiss kumsikia karibu kuucheki wimbo wake mpya.
Wimbo mpya kutoka kwake safari hii ni huu ambao Director Xainaco tayari ameikamilisjha kazi ya video, wimbo unaitwa ‘Nitarudi Morogoro’.
Tumia dakika zako tatu kuitazama kwa kuplay hapa chini mtu wangu…
0 comments:
Post a Comment