Hazijapita siku nyingi sana toka tumuone kwenye collabo ya video ya wimbo wa ‘Siri’ ambayo Barnaba ameshirikiana na Vanessa Mdee.
Ni leo hii hii tumeipata VIDEO mpya ya Diamond Platnumz Feat. Khadija Kopa, nyingine tena ni hii kutoka kwa Barnaba.. Hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Suna‘.
Kazi ya VIDEO imefanywa na Director Nick Dizzo.
Tumia time yako kuitazama hapa chini kwa kubonyeza play mtu wangu…
0 comments:
Post a Comment