Meninah aliyasema hayo leo alipokuwa akifanya mahojiano na mtangazaji Millard Ayo kwenye c kipindi cha Amplifaya, alipoulizwa kuwa angekuwa na uwezo angewapatanisha mastaa gani ambao wamegombana au hawaelewani kwa namna moja au nyingine.
“Ningekuwa na uwezo ningewapatatinisha Wema na Kajala kwasababu wote nawapenda”-Meninah alijibu
Wema na Kajala walikuwa marafiki wa karibu lakini urafiki wao ulivunjika na kwasasa sio marafiki tena.
Hakika wengi tunapenda wawili hawa waelewane na urafiki wao urudi, wewe je? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment