Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » BONDIA Maarufu Nchini wa Ngumi za Kulipwa, Francis Cheka Atoka Gerezani..

BONDIA Maarufu Nchini wa Ngumi za Kulipwa, Francis Cheka Atoka Gerezani..

BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni moja kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake amebadilishiwa adhabu ya kifungo.

Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.
Cheka alihukumiwa na Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini aitwaye Bahati Kabanda ‘Masika’. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips