Kigogo mmoja wa chama ambaye jina lake halikutajwa wala chama anachotoka
anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha
na mauaji ya albino na utengenezaji wa noti bandia.
Magazeti Mengi yameripoti leo yakisema kigogo huyo anahusishwa na mbio za urais bila kumtaja Jina
Je ni Kigogo Gani Huyo ? na anatoka Chama Gani ? Kama Mdau Unajua Embu Tupia Jina HapaWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment