Zitto Kabwe akihutubia na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania.
NA KWA KUWA tumeamua kujenga Chama cha siasa chenye lengo la kuchochea
ujenzi wa Taifa la Kujitegemea, lisilo na unyonyaji wala ubaguzi.
KWA KUWA tumeamua kuhakikisha kuwa maliasili ya Nchi yetu Tanzania ni
mali ya wananchi wote na kwamba lazima itumike kutokomeza umasikini
kwa nia moja tumeamua kujenga Chama chenye kufuata misingi ya Ujamaa wa Kidemokrasia (Democratic Socialism
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa wa ACT wazalendo wakisikiliza wagombea nafasi mbalimbali |
Wajumbe wakishangilia kwa pamoja hotuba ya hotuba ya Prof. Kitila ndani mkutano Mkuu |
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Act wakifuatilia taarifa ya Chama Kwa umakini |
0 comments:
Post a Comment