Johari Akiri Kumpora Kimapenzi Mwigizaji Ray Kutoka kwa Mainda
STAA wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri kwamba wakati
anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani hiyo, Vincent
Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth Suka ‘Mainda’, Johari
Amekiri Baada ya kuulizwa na Gazeti moja maarufu ....WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:
Post a Comment