Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Chanzo cha Kifo Chake Abdul Bonge Hiki Hapa

Chanzo cha Kifo Chake Abdul Bonge Hiki Hapa

Tasnia ya muziki wa kizazi kipya jana imepata pigo baada ya muasisi wa kundi la muziki la tiptop Abdul TaleTale (Abdul Bonge) kufariki jioni ya jana jumamosi

Abdul amefikwa na mauti alipokuwa akikimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala baada ya kusukumwa na kuanguka alipokuwa akiamulia ugomvi wa vijana karibu na nyumbani kwao Magomeni Kagera.

Marehemu atakumbukwa kwa kazi yake nzuri ya kuwaibua wasanii kama Madee, MBDog, PNC, PINGU NA DESO, KEYSHA, Z ANTON na Nk

Marehemu alipumzika kujishughulisha na Muziki na kumpisha Mdogo wake BABU TALLE Kuendelea na kazi hiyo.

Msiba upo nyumbani kwao Magomeni Kagera WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips