Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, February 27.
Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year).
Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni pamoja na Tiwa Savage (Nigeria),AKA (South Africa), Don Jazzy & The Mavin Group, Patoranking (Nigeria) na Yemi Alade (Nigeria).
Mshindi kwenye kipengele hicho atapatikana kwa 40% za kura za wananchi, 30% ya kura za Academy na asilimia 30 ya kura za Board.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment