Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha: Batuli na Joel wa Fresh120media Katika Mapozi Tata!!

Picha: Batuli na Joel wa Fresh120media Katika Mapozi Tata!!

Kila mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za mwigizaji Batuli akiwa na Joel Joseph wa fresh120media  siku ya sherehe yake  ya kuzaliwa.


Watu wanasema picha huzungumza, lakini Batuli mwenyewe asema wao ni marifiki tuu, na sisi tunakubali, lakini wapo ambao wanaona kunachazaidi hapa....

Katika kuona picha hizi zina utataaa, kwenye moja ya picha hizi Batuli aliandika kwa kumuliza joel kiutani.

Can I ask u something!? Joel do u have a girlfriend!? Maana nahisi kama utapigwa hivi...... Halafu unajua nina bae au hujui!? Unajua kazi ya silaha hizi!? (akaweka picha yavisu na bastola)

Wewe je utakubali wako atokelezee namna hii na Me/Ke wako?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips