Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mwigizaji JB Akubali Kushindwa , Asema Umri Wake Umeenda Kupenya Kimataifa katika Filamu

Mwigizaji JB Akubali Kushindwa , Asema Umri Wake Umeenda Kupenya Kimataifa katika Filamu


Mwigizaji Nguli wa Bongo Movies Amejibu Swali Aliloulizwa Kuhusu Kufanya Movies na Waigizaji wa Nje ili apenye Kimataifa...Jibu lake hili Hapa:
“Jana nilikuwa najibu maswali ya wadau wa jerusalem.wengi wanapenda kuniona kimataifa.niliahidi kulijibu leo...ndugu zangu kwanza nashukuru kwa kuniona nafaa kuwawakilisha kimataifa.lakini mwenzenu umri umekwenda.kitaalamu umri mzuri wa kuanza utafutaji ni20-35.nina zaidi ya 40.nguvu zimepungua.ndio maana akili yangu naiweka zaidi kuwa producer kupitia Jerusalem zaidi kuliko kuigiza.ndoto zangu ni kuifanya kampuni hii iwe kubwa africa.na hao waigizaji wa nje watamani kufanya kazi nasi.lengo ni filam yetu moja kuuzwa zaidi ya bilion1.inawezekana kwa sababu soko lipo.mchakato umeshaanza subirini.soko halitafutwi linajengwa.tuamke,tusifikiri kikawaida tufikiri tofauti.In Jesus Name. ..” JB alimalizaWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips