Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mwigizaji Batuli Aanika Mambo ya Chumbani Azugumzia Kufuli Anazopenda Kuvaa

Mwigizaji Batuli Aanika Mambo ya Chumbani Azugumzia Kufuli Anazopenda Kuvaa


STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefungukia mambo yake ya chumbani na kuanika kuwa anapenda kuvaa kufuli zenye rangi tofauti.
Akizungumza na mwanahabari wa...
GPL, Batuli ambaye anaendelea kufanya vizuri Bongo Movies kila kukicha, alisema kama binadamu wengine na yeye linapofika suala la viwalo hivyo vya ndani, anapenda kununua vingi vyenye rangi tofauti.

“Nanunua nyingi lakini sipendi ziwe za rangi moja hivyo siwezi kununua dazeni nzima ila nanunua  chachechache sehemu tofauti ili niweze kupata rangi tofauti,” alisema BatuliWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips