Ni Maneno ya Mwanamuziki Snura wa Majanga....Je Unakubaliana nae ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Snura Afunguka Kuhusu Shilole Kumchapa Vibao Nuhu Mziwanda ' Tusimuonee Huruma'
Mziwanda wala tusimuonee huruma. Inaonesha kweli anapenda kupigwa kama
Snura anavyosema! mnafanya kazi bure kuwashauri. Hapo kitakochotokea
Mziwanda anajiharibia kazi yake, lets be honest hivi anavyopigwa pigwa
hovyo kuna mwanaume atasikiliza au kuangalia nyimbo zake? Noo make
watasema "yule fala tu mwanaume gani anapigwa na mpenzi wake?" Halafu
kwa wasichana watasikiliza nyimbo zake vile tu kana sura nzuri si unajua
sie wadada tunavutiwa na vitu vidogo tu!! Halafu Mziwanda nahisi
anadhani akimuacha Shilole ndo amekwisha kimuziki itabidi ang'ang'anie
hapo hapo.... Mpaka atakapochukua maamuzi kama mwanaume akajitambua ndo
watu wote wataikubali kazi yake..lkn sasa hapana! ..
Ni Maneno ya Mwanamuziki Snura wa Majanga....Je Unakubaliana nae ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Ni Maneno ya Mwanamuziki Snura wa Majanga....Je Unakubaliana nae ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment