Mwanaume huyu anayeitwa Pela Tonye Okiemute ni maarufu sana huku Nigeria kwa kazi yake anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya kujichubua ngozi hasa kwa wanawake , Wenyewe wanamwita "King of Beauty", Wateja wake wakubwa ni Wasanii wakubwa na Wanawake wanaojiita
Socialite kama kina Agness Masogange na Vera Sidika, yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa sasa uwezi kumtambua , Pale Ameshare picha zake alivyokuwa zamani ujionee jinsi mkorogo ulivyombadilisha:WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment