Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mwanamitindo Flaviana Matata Kuolewa Mwaka Huu

Mwanamitindo Flaviana Matata Kuolewa Mwaka Huu

GOOD news kutoka kwa Mwanamitindo wa Kimataifa, Flaviana Matata ni kwamba anatarajia kufunga pingu za maisha Agosti 15, mwaka huu na kijana wa Kichaga anayejulikana kwa jina la Deo Masawe aishie Atlanta, Marekani.

Chanzo makini kutoka Atlanta, kimesema taratibu zote zimeshafanyika na kilichobaki ni siku ifike watu washerekehe.

“Nadhani kwa mwaka huu ndiyo itakuwa harusi ya kwanza ambayo itaacha historia kwa kuwa waoaji wamejipanga kisawasawa,” kilisema chanzo chetu huku mtu wa karibu na Flaviana akithibitisha tukio hilo na kudai litakuwa la kihistoria. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips