Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema Sepetu, Soma Maneno yake Akikiri

Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema Sepetu, Soma Maneno yake Akikiri

Mahaba: Mwanamuziki  Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’  ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.

Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.



Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na Wema, Diamond atanichukia wakati ninavyojua demu wake kwa sasa ni Zari? Niwaambie tu ukaribu wa mimi na Wema ulianza tangu zamani alipokuwa na Diamond,” alisema Dimpoz.

Mahabati ya Dimpoz na Wema yalianza kuonekana laivu juzikati wakati wawili hao walipokuwa nchini Afrika Kusini wakidai kuna ‘project’ ya ngoma mpya ya mwanamuziki huyo waliyokuwa wakiifanya kisha picha zilizowaonesha wakiwa kimahaba zikavuja na kuzua gumzo mitandaoni. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips