Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Licha ya Kumchapa Makofi Mpenzi Wake Shilole Atoa Ahadi ya Kumzalia Nuhu Mziwanda Watoto Wawili

Licha ya Kumchapa Makofi Mpenzi Wake Shilole Atoa Ahadi ya Kumzalia Nuhu Mziwanda Watoto Wawili

Shilole amedai kuwa mpango wake ni kumzalia mchumba wake Nuh Mziwanda watoto wawili.

Muimbaji huyo mwenye watoto wawili wa kike amesema hayo wakati akiongea kwenye kipindi cha The Mboni Show.

“Nitamzalia watoto wawili, nina wawili,” alisema Shilole aliyeongeza na mchumba wake huyo kwenye kipindi hicho kinachorushwa TBC1. Shilole amesema kuwa kadri siku zivyonaenda anazidi kumpenda zaidi Nuh kutokana na mapenzi anayomwonyesha.

Mwaka jana Nuh alimvisha pete mchumba wake huyo. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips