Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mwanamuziki Stara Thomas Akana Kufumaniwa na Mpenzi Wake

Mwanamuziki Stara Thomas Akana Kufumaniwa na Mpenzi Wake

Aliyekuwa mwimbaji muziki wa gospel na baadaye kurudi kwenye Bongo Fleva,Stara Thomas amekana habari zilizoenea hivi karibuni kuwa amefumaniwa na mpenzi wake nyumbani kwake.

 Akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa mwanamke kama yeye hawezi kufumaniwa na kwamba mpenzi wake wa sasa kinachomsumbua ni wivu wa kimapenzi bila kumtaja jina mpenzi wake huyo wa sasa.

Aidha ameongeza kuwa hayuko tayari kuzungumzia suala hilo kwa sasa ndiyo maana amekaa kimya tangu habari hizo zitoke kwenye magazeti.

‘’Nimeamua kunyamaza kimya lakini ipo siku ntazungumza kila kitu kuhusiana na habari hizi," alisema Stara.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips