Home »
HABARI
» Kutana na Mwanafunzi aliyeongoza kwa kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne kitaifa
Kutana na Mwanafunzi aliyeongoza kwa kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne kitaifa
Mwanafunzi aliyeongoza kwa kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha
nne kitaifa mwaka jana, Nyakaho Marungu akipongezwa na mama yake
Celestina Maro, nyumbani kwao Kitunda Dar es Salaam jana, muda mfupi
baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya
mtihani huo.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment