Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kimenuka Air Tanzania, Mamilioni Yatafunwa Kutokana na Ukodishaji ndege

Kimenuka Air Tanzania, Mamilioni Yatafunwa Kutokana na Ukodishaji ndege


Bodi ya Wakurugenzi ya shirika la ndege la taifa ATCL imemuamuru Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Johnson Mfinanga kuwa simamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha ajulikanaye kwa jina la Badru, Meneja wa Fedha Witness Mbaga, na kusimamisha mkataba wa cashier kwa uchotaji wa fedha za malipo ya kukodi ndege.

Mkurugenzi Mkuu aliye staafu mwezi huu wa February, alikodi ndege toka kampuni ya AVMAX ya Kenya bila kufuata taratibu za sheria ya manunuzi hivyo kujiwekea cha juu na kuandika hati ya malipo kwa kuwatumia watajwa hapo juu na kweda kuchukua pesa bank kwa pesa ya Kitanzania inayolingana na dollar elfu tano kila mwezi na wakati mwingine zaidi ya hapo kwa kipindi chote ndege hiyo ilipo kuwa ATCL.

Habari zaidi toka ndani ya shirika zina sema AVMAX wanadai kutopokea $55,000 kama sehemu ya malipo japo ndani ya shirika inasemekana pesa hiyo imelipwa na kupelekwa isipo julikana. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips