Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Japo Huwa Anamtandika Makofi Lakini Kifua cha Nuhu Mziwanda Ndio Mto wa Kupatia Usingizi Shilole..

Japo Huwa Anamtandika Makofi Lakini Kifua cha Nuhu Mziwanda Ndio Mto wa Kupatia Usingizi Shilole..


Udaku wa Instagram
Siku ya Jana ilikuwa ni siku ya Wapendanao ambapo watu mbali mbali walishow love kwa Watu wanao wapenda , mwimbaji Shilole ambae hivi karibuni ameingia katika skendo ya kumchapa vibao mchumba wake Nuhu Mziwanda Jana alipost haya maneno kuhusu Nuhu:

'My lv wangu mm wa uban! Nikiwaga nimekwazika na ya walimwengu basi akilinilaza kwenye kifua chake mawazo yote yanaisha na ninaweza sinzia kabisa! Nakupenda sana jackson wangu! Mm huwa napenda kumuita hivyo japo nyinyi mnajua kwa jina la NUH happy valentine my hubby." Aliandika Shilole

Haya Muache Kupigana Vibao sasa! WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips