Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Faiza Kessy Awachokoza tena Wabongo Atupia Picha Akiwa na Kichupi Ufukweni

Faiza Kessy Awachokoza tena Wabongo Atupia Picha Akiwa na Kichupi Ufukweni

Mrembo na muigizaji wa filamu, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto mmoja amezibandika picha hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa maeneo ya ufukweni mjini Bagamoyo.
Mbali na ukweli kuwa hapa amevalia nguo za ufukweni, mahabiki wengi wamemshabulia kuwa..
mavazi haya hayafai kwani yeye sasa hivi ni mama tena amezaa na Muheshimiwa, huku wengine wakisema hapo ndio mahali pake na wa muacha afurahie maisha yake.

Japokuwa ni kweli kuwa Faiza aliwashangaza wengi mwaka jana kwa kuvalia “pampers” kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, lakini kwa hizi  nadhani  tumwache, amependeza sana.

Sijui wewe umezionaje!!.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips