Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!

Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!

Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana  na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.
Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa  katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza  kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno  ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.
“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.
Mashabiki wake walimpongeza kwa kuweza kumpata mwenza na kutaka PROJECTII iendelee.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips