Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisa

Aunt Ezekiel: Wanao Nizushia Kuwa Nimejifungua Wametumwa na Mapepo Wabaya..Wanikome Kabisa


Udaku Special Blog: STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama .....
wametumwa na mapepo wabaya.

Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.

Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli.  Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips